-12%

Chia Seeds


Compare

Wauzaji wa mbegu za Chia kwa bei nafuu. Jumla: 15,000 kilo(kuanzia kilo 10).
Rejareja: 10,000 nusu na 17,000 kilo. Piga/Whatsapp 0654311255/0744111221

Sh15,000 Sh17,000

Faida ya mbegu za Chia Seeds
– Inasaidia moyo kufanya kazi yake vyema na kuzuia matatizo yatokanayo na umri unavyosogea.
– Nafaka iliyomo ndani mbegu za Chia inasaidia kufufua seli za mwili na kuziimarisha
– Chia seed inasaidia kusaga chakula katika kiwango kile kinatakiwa na mwili
– Chia seed inaimarisha kinga ya mwili na kukukinga na marathi nyemelezi
– Chia seed inakupa nguvu mwilini
– Inasaidia wenye shida ya sukari na pressure.
– Inasaidia kukupa usingizi mzuri
– Inaondoa shida ya tumbo hasa wenye shida kwenye usagajiwa chakula na kutokupata choo
– Chia seed inachoma mafuta magumu ya tumbo hivyo itakusaidia kupungua na kuwa imara zaidi


Matumizi:
– Asubuhi kabla ya kula chochote weka vijiko viwili vya chakula kwenye kikombe weka maji ya moto ukipenda kamulia limao. Kunywa mchanganyiko huo. Itakupa nguvu na kukushibisha kunywa chai yako baada ya nusu saa au zaidi.
– Unaweza pikia kwenye chakula chako kama mchuzi wa samaki nyama au kuku.
– Inafaaa kuchanganya kwenye uji ,maziwa ,juice maziwa mgando, smoothies, fruit salad, vegetable salad etc
– Unaweza nyunyiza juu ya chakula chako wakati wa kula kama wali ndizi supu etc.
– Unavyozidi kutumia ndivyo matokeo utaona kwa haraka.
– Chia ni chakula muhimu na adimu sana. Tumia Chia Seeds upate kinga ya mwili imara uepukane na magonjwa sugu.

Tunauza Kilo moja kwa 17,000 na nusu Kilo ni 10,000. Wasiliana nasi kwa simu/Whatsapp kupitia 0654311255 au 0744111221 na Dodoma tupigie 0715733768.

Based on 0 reviews

0.0 overall
0
0
0
0
0

Be the first to review “Chia Seeds”

There are no reviews yet.

0 out of 5
Tanzania
jonbillzjr@gmail.com
0654311255
No more offers for this product!

General Inquiries

There are no inquiries yet.